CCM LEADERS

CCM


I made this at .

Friday 13 August 2010

DARSA YA RAMADHAN LEICESTER, UK

ASSALAAMU ALAYKUM

Inshaallah Darsa ya Mwezi wa Ramadhani kila Jumamosi na Jumapili itaendelea mwaka huu hapa katika jiji la Leicester, UK.

Utaratibu ni huu ufuatao
SIKU: Jumamosi na Jumapili
SAA: Kuanzia Saa Moja kamili jioni mpaka Magharibi
UKUMBI: Hashi Centre, 60-66 NEDHAM STREET, Leicester, LE2 0HA

MIHADHARA
Pia katika mfululizo huu huu,
Inshaallah kutakuwa na

MHADHARA katika siku hizi zifuatazo:
JUMAMOSI 28-08-2010
JUMAMOSI 04-09-2010
Nyakati za kuanza mihadhara pamoja
na majina ya wahadhiri yatatolewa baadae Inshaallah
Tujitahidi Waislamu wa Leicester na

vitongoji vinavyoizunguka kuhudhuria
katika mikusanyiko hii ya kheri
Wa Billahi Tawfeeq

0 comments:

Newer Post Older Post Home