Mkutano Wa Kamati Kuu Dodoma Leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, akifungua rasmi kikao cha kamati kuu ya CCM Taifa kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Makao Makuu mjini Dodoma.
Post a Comment